GET /api/v0.1/hansard/entries/60545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60545,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60545/?format=api",
    "text_counter": 256,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, ninakubaliana sana na mawazo ambayo yalitolewa na mhe. Wetang’ula, kwamba kuna vipengele ambavyo haviingiani. Ugatuzi utaleta shida. Sura ya nchi italeta shida kubwa; lakini tumepewa nafasi kama Wabunge kukaa na kufikia maafikiano fulani ili kuonyesha Kenya inaelekea wapi, hasa kulingana na mpango wa maendeleo wa mwaka wa 2030. Tunawajibu, sisi kama viongozi, kutoa uongozi."
}