GET /api/v0.1/hansard/entries/605654/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 605654,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/605654/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, Katiba inatueleza wazi wazi shughuli ambazo zinafaa kufanywa na Serikali Kuu na pia serikali za kaunti. Tunataka mambo haya yashughulikiwe na Kamati mara moja ili tuyachunguze. Ikipatikana kwamba ni kweli Gavana amefanya mambo haya, adhabu kamili inafaa kutolewa. Asante, Bw. Spika."
}