GET /api/v0.1/hansard/entries/606275/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 606275,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/606275/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Njoroge",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13158,
"legal_name": "Ben Njoroge",
"slug": "ben-njoroge"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kujiunga na wenzangu kuunga mkono Mjadala huu ambao uko mbele ya Seneti. Kwanza, Katiba ndiyo ilituleta – mimi na dadangu Sen. Omondi – katika Bunge hili la Seneti. Itakumbukwa kwamba Katiba ilitumika wakati tulipokuwa tumesukumwa nje; wakati ilikuwa inachapishwa katika Kenya Gazette. Tulipoenda mahakamani kwa kutumia Katiba, tulifaidika kwa kuingia katika Bunge hili ili kujenga taifa na kuunda sheria pamoja na Maseneta wengine. Bw. Spika wa Muda, lilikuwa jambo la kuhuzunisha kuona Independent Electoral"
}