GET /api/v0.1/hansard/entries/606279/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 606279,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/606279/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Njoroge",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13158,
"legal_name": "Ben Njoroge",
"slug": "ben-njoroge"
},
"content": "ili wawe miongoni mwa Wabunge wa Bunge hili. Kwa hivyo, ninaheshimu Katiba kwa sababu kama sio Katiba, ingekuwa vigumu sana mimi kuwahutubia kama Seneta anayewakilisha walemavu katika Seneti hii. Bunge la Taifa limeanza kupuuza Katiba kulingana na vile Wakenya walivyotaka. Wakenya waliamua kwamba kuwe na Bunge mara mbili; moja iwe Bunge la Taifa na nyingine iwe Seneti. Walitaka Seneti iangalie na kuhakikisha kwamba pesa ambazo zinatengewa kaunti zinatumika vilivyo."
}