GET /api/v0.1/hansard/entries/60789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60789,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60789/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwahima",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 99,
        "legal_name": "Mwalimu Masoud Mwahima",
        "slug": "mwalimu-mwahima"
    },
    "content": "Kwanza, ninataka kuwashukuru Rais wa nchi hii, na Waziri Mkuu, Bw. Raila Odinga. Viongozi hao wamekaa pamoja na kutuweka sisi, Wabunge wa Bunge la Kumi, kwa makini sana. Ninataka kuwalaumu wachochezi walioko kwenya Bunge hili, ambao wamewapeleka vibaya viongozi hao. Bunge la Kumi limechangia pakubwa. Tumekaa vizuri kama ndugu. Hata sura zetu zinafanana na tunafanya kazi pamoja. Zile “chuchuchu” ndogo ndogo ndizo zinazotaka kutuharibia Serikali."
}