GET /api/v0.1/hansard/entries/60790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 60790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60790/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwahima",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 99,
"legal_name": "Mwalimu Masoud Mwahima",
"slug": "mwalimu-mwahima"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, sisi, kama watu wa Pwani, tulikuwa na malalamiko kuhusu bandari. Rais na Waziri Mkuu wako tayari kukubaliana nasi lakini wachochezi wenye tamaa wanajaribu kutuharibia. Katika Bunge hili la Kumi hatufai kuwa na hali kama hiyo. Katika mwaka wa 2008, tulikuwa katika shida kubwa sana, mpaka Mumarekani akaja kutupatanisha. Kwa vile sisi ni ndugu, tukapatana lakini tulipoanza siasa za uchaguzi wa mwaka wa 2012, fitina na uchochezi mwingi zikaanza. Sasa hatuna mwelekeo wowote. Hakuna njia ya maana."
}