GET /api/v0.1/hansard/entries/60792/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60792,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60792/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwahima",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 99,
        "legal_name": "Mwalimu Masoud Mwahima",
        "slug": "mwalimu-mwahima"
    },
    "content": "Ninaiunga mkono Hoja hii ili turudi tukafanye kazi nyumbani. Kuna Mawaziri ambao wanakazi wanazostahili kufanya. Tunataka kurudi makwetu tukaone wamefanya nini. Masuala ya usajili wa watu na ulinzi, yamezungumziwa. Kwa hivyo, ni muhimu turudi makwetu tukaone kazi hizo zinafanyika namna gani."
}