GET /api/v0.1/hansard/entries/60794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 60794,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60794/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwahima",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 99,
"legal_name": "Mwalimu Masoud Mwahima",
"slug": "mwalimu-mwahima"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, ninajua kwamba Wabunge wengi wanataka kuchangia Hoja hii, lakini ninawasihi wanisikize kidogo kwa sababu sijawahi kuchangia Hoja kama hii mbeleni. Ningependa kuichangia Hoja hii kwa sababu ningependa tutakapoondoka hapa twende tukakae pamoja tuzungumzie masuala muhimu ili tusuluhishe matatizo madogo madogo yanayoleta uhasama miongoni mwetu."
}