GET /api/v0.1/hansard/entries/60795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60795,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60795/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwahima",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 99,
        "legal_name": "Mwalimu Masoud Mwahima",
        "slug": "mwalimu-mwahima"
    },
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, nikimaliza mchango wangu, ningependa kukufahamishwa kwamba sisi, wakazi wa Pwani, hatukubaliani na mpango wa Serikali wa kuibinafsisha bandari. Hata tukiambiwa kwamba tutachinjwa tusipouachilia msimamo huo, hatutakubali. Ni afadhali tuchinjwe sote, lakini bandari haitauzwa. Ujumbe huo upelekwe kwote mahali popote pale, hata ikiwa Ulaya; lakini bandari haiuzwi."
}