GET /api/v0.1/hansard/entries/60834/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 60834,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60834/?format=api",
"text_counter": 210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, hali hii inahusu korti ya kimataifa kwa sababu hiki ndicho chanzo cha yale mambo ambayo tunaongea hapa. Na karibu igawanye nchi nzima. Haya yote yamefanyika tukiwa hapa. Ni dhahiri kwamba, wale wliohusika na mauaji ya halaiki ya wakenya hawajaguzwa. Walioongoza na kuchochea na kusema kwamba wananchi waende wapigane, hawako katika ile orodha inayotajwa hapa ya wale wanaotakiwa kuenda katika korti ya kimataifa. Ni dhahiri tuseme kwamba sheria ya nchi hii inafaa impate aliye mkubwa na aliye mdogo. Ikiwa wakubwa watakuwa wanakosa na kubaki huru na kuongea mambo ya uchochezi, haitawezekana kamwe kwani sheria ni ya kila mtu katika taifa letu."
}