GET /api/v0.1/hansard/entries/60836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 60836,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60836/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ni lazima tuchunge matamshi ya viongozi. Inafaa tunapotoka hapa, twende kule nje na kuunganisha taifa letu. Kiongozi anaposimama na kusema kwamba: âPunda amechoka, na barabara ni ya Misriâ, anamaanisha nini? Hili ni taifa la Kenya na wala sio Misri. Sisi tuna mtindo wetu wa kufanya mambo. Sisi sio wamisri. Kama kuna mtu wa kuchochea vuguvugu, inafaa aende akafanyie hio vuguvugu nyumbani kwake kwa sababu ana watoto wake kule nyumbani."
}