GET /api/v0.1/hansard/entries/60963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60963/?format=api",
    "text_counter": 55,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Yakub",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 378,
        "legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
        "slug": "sheikh-dor"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu Bw. Naibu Spika. Kwa heshima nilizo nazo juu ya Bunge, ni lazima tuzungumze ukweli na haki. Mbunge ni kiongozi ama kiigizo cha wale ambao walimchagua. Ninafikiri sio sawa kiongozi wa kisiasa kama Mbunge kujibadilisha na kujioengeza vifaa ambavyo havifahi. Ninamheshimu Mbunge wetu lakini hizo studs ama vipuli havifai kuvaliwa hapa."
}