GET /api/v0.1/hansard/entries/60966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60966/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Munya",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for East African Community",
    "speaker": {
        "id": 279,
        "legal_name": "Joseph Konzolo Munyao",
        "slug": "joseph-munyao"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, nadhani zamani Waafrika walikuwa wanavaa vile mhe. Mbuvi amevalia. Walikuwa wanavalia hivyo vitu, lakini mambo yakabadilika. Nafikiri pengine mambo yanaenda yakibadilika hata sasa. Labda hiyo ni fashion mpya ambayo “Sonko” analeta na Waheshimiwa wengine hawajaielewa sasa. Labda yeye anatuletea staili mpya."
}