GET /api/v0.1/hansard/entries/60970/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 60970,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60970/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, mbali na kuwa kuna uhuru wa kuvaa, kulingana na mtindo wa Kiafrika na hasa Sheria za Bunge, siwezi kuja hapa kama nimevalia skati, lakini mwanamke anaweza kuvalia suruali ndefu. Kwa hivyo mwanamme yeyote kuvalia vipuli sio tabia nzuri. Tukiyaruhusu mambo haya hapa na kule nyumbani wale waliotuchagua wanatarajia tuwe viongozi wenye hekima na heshima, tutakuwa tukiwahangaisha wananchi. Kwa hivyo, haifai hata kama sio leo kwamba katika siku zijazo wanaume wavalie sindilia au vitambaa vichwani na kuja navyo Bungeni ati kwa sababu ni mavazi. Mtindo wa mavazi na heshima ya Bunge ni lazima vizingatiwe. Kwa hivyo, kuvalia vile hakufai kwa kiongozi."
}