GET /api/v0.1/hansard/entries/60971/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 60971,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60971/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Onyonka",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Foreign Affairs",
"speaker": {
"id": 128,
"legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
"slug": "richard-onyonka"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, nafikiri kuwa uamuzi wako hauhusu njia ambayo tunatakiwa kuvaa kule nje, bali ni vile tunafaa kuvaa hapa kuambatana na Sheria za Bunge. Kama Sheria za Bunge zinasema kwamba tunafaa kuvaa mavazi kwa njia Fulani, lazima tuzingatie umuhimu wa Bunge."
}