GET /api/v0.1/hansard/entries/609963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 609963,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/609963/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipatia muda huu ili niunge mkono hii Hoja. Ugawaji wa pesa katika kaunti uko katika Kipengele cha 96 (3) cha Katiba. Kipengele hicho kinasema kwamba Seneti ndio itahusika katika ugawaji wa pesa kwa kaunti kutoka kwa Serikali kuu. Vile vile, Seneti iko na uwezo wa kuangalia matumizi ya pesa hizo katika kaunti ama serikali za kaunti. Pesa hizi ambazo tulisema zipelekwe mashinani zilikuwa za kuwasaidia akina mama, wazee, watoto na watu wote kwa jumla The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}