GET /api/v0.1/hansard/entries/61025/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 61025,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/61025/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kabando wa Kabando",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 31,
"legal_name": "Kabando wa Kabando",
"slug": "kabando-kabando"
},
"content": "yangu. Hakuna haja ya kuhusisha Wizara zingine kule mashinani kwa sababu tunalenga kuwasaidia vijana wengi zaidi. Hatutaki kuhusisha Wizara ya Serikali za Mikoa, Wizara ya Maji, Wizara ya Barabara na Wizara ya Misitu na Wanyama wa Porini. Hii ni kwa sababu sisi kama Wizara tunataka kuajibika vilivyo kwa mapana na marefu ya mpango huu. Mpango wetu ni kuyahusisha mashirika ya vijana, polytechnics na youth empowerment centres mashinani ili masilahi ya vijana yashughulikiwe kwa njia mwafaka."
}