GET /api/v0.1/hansard/entries/610310/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610310,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610310/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Watu kule mashinani wanahitaji hazina hii na hazina hii ni lazima ifanyiwe kazi ili sheria iwe vile inavyotakikana; Katiba haikuja kuwanyanyasa Wakenya bali ilikuja kuwasaidia. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii ili Bunge hili la kumi na moja liweze kurekebisha matatizo yaliyoko, na hazina hii iweze kutumika kuendeleza Wakenya mbele."
}