GET /api/v0.1/hansard/entries/610315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610315,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610315/?format=api",
    "text_counter": 288,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Kuna watu tunaweza kuwaita mabepari ambao bado wanataka kutuwekea ukoloni Kenya, na ni hao wanaoitwa World Bank. Wameona kwamba hatutaenda tena kukopa pesa kwa sababu CDF na Social Fund zinashikilia ile nafasi ambayo wao walikuwa wakishikilia. Hatutaki tena madeni. Sisi wenyewe tunaweza kujisimamia na tunajisimamia kupitia Social Fund na CDF. Wabunge wenzangu, katika bajeti ya mwaka huu, ikiwa hakuna CDF na Social Fund, there will be no Budget . There is will be no Budget for this country . Kwanza tupitishe yetu halafu tuangalie hayo mengine."
}