GET /api/v0.1/hansard/entries/610467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610467,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610467/?format=api",
    "text_counter": 78,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Ninashukuru mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa pia kumshukuru Mbunge aliyeweka Hoja hii mbele yetu na kwa busara kubwa ambayo ametumia. Itafahamika kwamba dhuluma waliofanya hao wabeberu kwa nchi hii ni nyingi sana. Tukisema Mau Mau, itafahamika kwamba kila kabila la Kenya lilikuwa na"
}