GET /api/v0.1/hansard/entries/610471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610471,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610471/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, baadhi ya wale ambao walikuwa askari wa kikoloni, yaani British Army, walifanya mazoezi katika sehemu tofauti tofauti za nchi hii. Baada ya kutoka katika sehemu hizo,waliacha mabomu ambayo mpaka leo yanaendelea kuwaua wenyeji na kuathiri mifugo. Walifanya mambo mengi ambayo ni ya kuvunja moyo sana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}