GET /api/v0.1/hansard/entries/610497/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610497,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610497/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": ". Kuna Mzee Munyambu Mbaa Kivanguli, kutoka Ukambani, ambako ndiko kwenye usuli wangu kwa upande wa babangu. Kuna Mzee Mwamgogo, Mzee Jerumani na Mama Mekatilili, ambaye alitoka sehemu za Ugiriama. Hao ni miongoni mwa wale ambao waliweza kututetea. Wako wengine wengi ambao hatuwajui. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}