GET /api/v0.1/hansard/entries/610516/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610516,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610516/?format=api",
    "text_counter": 127,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wekesa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2742,
        "legal_name": "David Wafula Wekesa",
        "slug": "david-wafula-wekesa"
    },
    "content": "waweze kutambua ni akina nani walishughulikia kuwepo kwa Uhuru wa Kenya. Kwa mfano, kuna Wambui Otieno aliyeshughulikia sana kuwepo kwa Uhuru wa Kenya lakini hajulikani mahali popote. Mengi tuliyasikia tu wakati alipokuwa na kesi ya bwana yake na wakati alipoolewa na Mbugua. Tulisikia jinsi alivyokuwa akipigania Uhuru. Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ninaunga Mkono."
}