GET /api/v0.1/hansard/entries/610536/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 610536,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610536/?format=api",
    "text_counter": 147,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "Kuna haja ya sisi kama Wakenya na Serikali kujifunza kutoa shukrani kwa watu ambao wamefanya kazi na watu ambao wanasaidia kwa hali kubwa kuhakikisha na kuendeleza maswala ya maendeleo kwa Jamhuri ya Kenya. Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, kwa hayo maneno machache, ningependa kuunga mkono Hoja hii. Asante."
}