GET /api/v0.1/hansard/entries/610571/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 610571,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610571/?format=api",
"text_counter": 182,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Wakenya wengi au wazee waliopigania Uhuru wamekufa na familia zao bado wanafuatilia historia za familia zao. Serikali yetu ingeangalia hizo familia na kuona vile zitasaidiwa. Ama wakoloni – sisi tunawaita makaburu – wasaidie hizo familia . Ukiangalia mambo ya ardhi, kutoka kwetu hadi Laikipia, hao mabeberu bado wameisimamia. Bado hayo mashamba ni yao. Hata sasa tukitaka nyasi, hatupati. Ile taabu tunayo sasa ni kuwa wamechukua ardhi yote katika Laikipia. Hata nyasi hatupati. Bado wanawatesa watu wetu wakienda kutafuta nyasi. Bado wanawatesa watu wetu hata wakienda kutafuta maji kwa sababu wamechukua ardhi yote. Kwa hivyo, haya mambo ya"
}