GET /api/v0.1/hansard/entries/612032/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 612032,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/612032/?format=api",
    "text_counter": 425,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wekesa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2742,
        "legal_name": "David Wafula Wekesa",
        "slug": "david-wafula-wekesa"
    },
    "content": "ya elimu ya sekondari. Sisi wote tunajua jambo hilo. Tulikuwa tumezoea kwamba hizo pesa zilikuwa zinawekwa kwenye Bajeti. Zinasaidia sana. Tunataka Waziri ama Bunge hili kupitia kwa kamati ambayo inahusika na maswala ya elimu watuambie kuhusu fedha hizo na kwa nini haziko kwenye Bajeti ya makadirio ya mwaka ambao unakwisha mwezi wa sita."
}