GET /api/v0.1/hansard/entries/612455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 612455,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/612455/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "December 1, 2015 SENATEDEBATES 15 Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ulitoa amri kwamba taarifa hii itolewe leo. Siku ya Alhamisi wengine wetu tutasafiri kwenda Kigali kuwakilisha Bunge katika michezo ya Afrika Mashariki. Nitaathirika sana ikiwa ndugu yangu, Sen. Madzayo, ataleta taarifa hiyo kesho. Taarifa hiyo ikiletwa baada ya Alhamisi itakuwa ni tasa na haitakuwa na maana tena kwetu."
}