GET /api/v0.1/hansard/entries/612471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 612471,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/612471/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ningependa kuuliza maswali zaidi kuhusu swala hili. Je, wakurugenzi wa kampuni hiyo ya Millennium Management Limited ni akina nani? Je, sheria ilifuatwa katika uuzaji wa hisa hizo? Je, Serikali ina mipango gani ya kufufua sekta ya korosho nchini?"
}