GET /api/v0.1/hansard/entries/615548/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 615548,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615548/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13130,
"legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
"slug": "zuleikha-juma-hassan"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, sijaona hizi karatasi kwenye mtandao. Kama utaniruhusu, mara nyingi hakuna makaratasi yenye kufasiri hizi ripoti katika lugha ya Kiswahili. Wengi wa wananchi kule tutokako hawajui Kiingereza. Ningeomba Bunge ifahamu kuwa Kiswahili ni lugha ya taifa na iwe ikitufasiria taarifa zote zinazokuja Bungeni. Kama Wabunge wengine, ningependa kuiunga mkono Hoja hii kuhusu kuendeleza maswala ya Pwani. Ningependa kuongeza kuwa ni muhimu vyombo tofauti vya Serikali vikija pamoja kuleta miradi, vihusishe wananchi katika mambo wanayotaka kufanya na wawe wakiwashauri. Wananchi mara nyingi huamka tu asubuhi na kuona The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}