GET /api/v0.1/hansard/entries/615719/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 615719,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615719/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Ms. Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Spika. Mimi pia ninataka kuunga mkono mjadala huu kumhusu Lilian Omollo kuwa Katibu wa Kudumu kwenye Serikali hii ya Jubilee. Kama inavyosemekana ni kuwa akina mama hawana sanduku la posta. Kule wanakokwenda, ndiko wanakofika. Wakipata waume ama watoto utakuta pia wanatuzalia makabila tofauti hapa Kenya kwa sababu ya kuweza kuunganisha nchi. Kwa hivyo, akina mama hapa Kenya na duniani nzima ndio wenye kuunganisha ulimwengu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}