GET /api/v0.1/hansard/entries/615720/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 615720,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615720/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Ms. Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ukiangalia stakabadhi za Lilian Omollo zinaonyesha kuwa ana ujuzi na anaweza kazi. Hivyo basi, ninaunga mkono nikimtakia kila la heri, na ningependa alete ujuzi na haswa, yale mafunzo aliyopata huko upande wa Nyanza katika Serikali ya Jubilee ili aweze kutuonyesha na kutuwezesha kufanya kazi kama Wakenya kwa ujumla. Ninaunga mkono."
}