GET /api/v0.1/hansard/entries/615817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 615817,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615817/?format=api",
    "text_counter": 191,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia kuhusiana na wale ambao wameteuliwa ili kwenda kusimamia Tume ya kupambana na ufisadi. Baada ya kusikiliza vile Mwenyekiti Wa Kamati ameongea, ni kuonyesha ya kwamba hao wote ambao wameteuliwa wako na umaarufu na vilevile wako na shahada za elimu za kuonyesha ya kwamba wamehitimu kwa kazi hii. Ningetaka kugusia kwamba Tume hii ni Tume ambayo inategemewa sana nchini Kenya katika mambo ya kupambana na ufisadi. Kwa sababu hii, tuko hapa kuzungumza leo kuhusu hawa ambao wameteuliwa na kuonyesha kwamba wale wengine ambao walitolewa, viongozi wa taifa hawakuwa na imani nao katika vita dhidi ya ufisadi. Wajue kazi iliyoko mbele yao ni kazi kubwa Inatakakina tuone kwamba wameanza kutekeleza kazi zao kwa haraka haraka.Wengi walioteuliwa katika Tume hii wamekuja na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}