GET /api/v0.1/hansard/entries/615832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 615832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615832/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Kwa ukweli, Ms. Sophia Lepuchirit anatoka kwetu na ni mtu tunajua. Atafawanyia Wakenya wote kazi bila ubaguzi wala upendeleo. Hatawaletea aibu Wakenya. Kwa hivyo, tunashukuru Rais wetu kwa kumteua kwa sababu ni mtu amefanya kazi kwa Serikali katika Idara ya Utawala, akiwa Mkuu wa Tarafa. Tunajua ni mama amefanya kazi. Vile vile, yeye ndiye mama wa kwanza kupata shahada ya chuo kikuu kutoka eneo la Samburu."
}