GET /api/v0.1/hansard/entries/615870/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 615870,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615870/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Dr. Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Mhe. Rais ameanzisha vita dhidhi ya ufisadi. Bila shaka, Philip Kinisu akiwa kama Mwenyekiti, Dr. Dabar Abdi akiwa kama mmoja wao, Paul Mwaniki, Sophia na Rose Mghoi, wote hao wanaonekana kuwa wako na kazi ngumu ya kufanya. Lakini kazi wanaokwenda kufanya ni kuwezesha Mhe. Rais kupigana na vita hivyo na kupunguza ufisadi hapa nchini, ili Wakenya waweze kufurahia maendeleo ya nchi hii pasipo na ufisadi."
}