GET /api/v0.1/hansard/entries/615871/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 615871,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615871/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Dr. Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ukiangalia shahada zao, ni sawa kabisa. Ukiangalia kazi zile walizozifanya, zimewawezesha kufika pale walipo. Vile vile, ni Wakenya wanaofaa. Ukiangalia pia upangaji wao, ni watano tu. Lakini Mhe. Rais amejaribu kupanga kila eneo la Kenya ili vita dhidi ya ufisadi viwezekane."
}