GET /api/v0.1/hansard/entries/615975/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 615975,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/615975/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadime",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu wa Spika wa Muda kwa nafasi hii. Ninaamka kuunga mkono hawa Makatibu Wakuu wote wawili, Sunkuli na Margaret Mwakima. Baada ya kusoma yale masomo wako nayo na uzoefu wa kazi walizofanya na nikiangalia yale masuala mimi kama Mbunge wa Mwatate ambayo ninayakariri, hao wote ninaona ni watu wanaoweza. Sisi kama Wataita Taveta tumeshukuru kwa sababu kwa sasa hivi, ni mmoja tu ambaye tumepata kama Katibu Mkuu. Nikiangalia suala tata lile la wanyama pori na vilevile nikiangalia lile suala tata baina ya wananchi na--- Niliposoma niliona kwamba kulingana na elimu ambayo hawa wawili wako nayo, na uzoefu wa utendakazi walionao, wanaweza kutusaidia kukabiliana na hiyo changamoto. Vilevile, kwa sasa hivi, hili ni jambo ambalo sisi Wakenya hatulizungumzii lakini wanyama wengi sana---"
}