GET /api/v0.1/hansard/entries/616032/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616032,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616032/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Asante Mhe.Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie mjadala huu. Kwanza, ningependa kusema kwamba ninaunga mkono wateule hawa. Hata hivyo, ningependa kumuuliza Mhe. Rais wakati mwingine akifanya uteuzi afahamu kwamba kuna makabila 42 ambayo yangetamani kufanya kazi katika Serikali. Tukiangalia majina yaliyo hapa na tuseme tuite mkutano wa Wizara kujadili mambo yake, ni hakika na ni dhahiri kwamba ni lugha moja itakayozungumzwa na sii Kiingereza wala Kiswahili."
}