GET /api/v0.1/hansard/entries/616034/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616034,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616034/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Nikiangalia vile vile hapa, ni watu ambao wako na tajriba ya kutosha kufanya hii kazi. Hata hivyo, kuna Wakenya wengine ambao wako na ujuzi zaidi pengine hata kuwazidi hawa, lakini hawakupatiwa hiyo nafasi. Hata hivyo, ni kusisitiza tu kwamba wazingatie na waache na kusahau pale wanapotoka ili wahudumie Kenya yote kwa ujumla."
}