GET /api/v0.1/hansard/entries/616035/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 616035,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616035/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Tukizingatia sehemu za ujenzi wa nyumba, nyumba nyingi zimekuwa zikiporomoka kwa sababu ya usimamizi mbaya na hawa wateule wako na tajriba ya kutosha kulingana na nyanja zao. Kwa hivyo, ni imani kuwa wataweza kusimamia idara zao vizuri. Hasa yule anayesimamia idara ya ujenzi ingekuwa vizuri iwapo atazingatia mambo ya barabara kama vile tulivyopitisha hapa Bungeni kwamba kila eneo la Bunge liweze kupata kilomita ishirini kwa kila mwaka..."
}