GET /api/v0.1/hansard/entries/616189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616189,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616189/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Yangu ni machache na ningependa kumuunga Rais mkono kwa kazi nzuri aliyoifanya. Ningependa kusema kwamba uchaguzi unapofanywa nchini Kenya, nchi nzima inafaa kuangaliwa kwa sababu watu wote ni wa Mungu. Kutoka wakati wa enzi ya Rais Moi, Tigania Mashariki na Magharibi hawajawahi kupata Katibu Mkuu au Waziri. Lakini naunga Hoja hii mkono kwa sababu imetoka kwa Rais."
}