GET /api/v0.1/hansard/entries/616444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 616444,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616444/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Katika watu wote ambao wamepatiwa nafasi, ningependa sasa kuzungumzia suala la Daktari Mailu. Ni daktari anayejulikana Kenya nzima. Amesimamia masuala ya Hospitali ya Nairobi ambayo ameitoa kwa matatizo mpaka sasa hivi hospitali ile imepata maendeleo ya ajabu. Imejengewa kwa sababu Daktari Mailu amefanya kazi kubwa sana. Wakati Daktari Mailu alipoacha kazi katika Hospitali kuu ya Kitaifa ya Kenyatta na akaenda kufanya kazi kwa Hospitali ya Nairobi, nataka kusema kwa wale wenzetu wote waliokuwa wakifanya kazi Kenyatta, walijua tulipoteza daktari wa kihakika. Si daktari tu bali daktari mwenye bidii sana. Kwa vile ametumwa kusimamia masuala ya afya, bila shaka masuala haya…"
}