GET /api/v0.1/hansard/entries/616462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 616462,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616462/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Dr. Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Vile vile Waziri Willy Bett ambaye amapatiwa kazi hii, atawaze kufanya kazi kwa Wizara ya Kilimo. Yeye pia ana shahada tofauti tofauti na utendaji kazi wake unafahamika. Ukweli ni kwamba Waswahili husema sikio la kufa halisikii dawa. Tunavyokuja hapa leo kuzungumzia masuala haya, tukumbuke kwamba sisi ni Wakenya na nchi yetu ni moja. Hakuna yule aliye Serikalini na yule aliye Upinzani ambaye atasema hiyo ni Kenya yenu na hiyo sio Kenya yetu. Kuna umuhimu kwa Wakenya kuwa kitu kimoja na kufanya kazi pamoja."
}