GET /api/v0.1/hansard/entries/616474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616474,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616474/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "ngazi ya kuwa na wadhifa wa kitaifa. Nampa kongole. Kama alivyosema kakangu Mhe. Midiwo, inaonekana kwamba upande wa kulia wa Spika kidogo una upungufu lakini upande huu wa Upinzani inaonekana kuna watu wenye uwezo wa kusaidia. Wanapotuhitaji sisi bado tuko. Kila la heri Mhe. Dan Kazungu. Sisi tunafurahia na tunakupatia kongole. Nataka niseme kwamba kwa vile tunaenda kwa kinyang’anyiro, tutakuwa pale na mwaka wa 2017, nipo ndani nitachukua mwenyewe. Ahsanteni."
}