GET /api/v0.1/hansard/entries/616784/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616784,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616784/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Asante Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Nimesimama kuiunga mkono Mswada ulio mbele yetu kuhusu uhifadhi wa misitu. Duniani nzima, na Kenya kama nchi, ni muhimu tuhifadhi misitu. Lakini huo mchakato wa kuhifadhi misitu ni lazima uwe na utu na uheshimu jamaa ambao wanaishi katika sehemu hizo. Mwezi wa nne mwaka uliopita nilileta teteze Bungeni juu ya kubadilishwa kwa mpaka wa misitu katika kaunti ya Tana River."
}