GET /api/v0.1/hansard/entries/616790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616790/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "ilifanywa 2013, hali ya elimu itakuwaje katika sehemu ile? Shule hizo zilijengwa miaka 20 au 30 iliyopita. Hii ni thuluma kwa watu wa Tana River. Ingawaje tunataka kuhifadhi misitu, uhifadhi wa misitu usitumiwe kutunyima sisi fursa ya kuelimisha watoto wetu. Kwa hayo machache, hii ni arifa ninatoa kwa Bunge: Ninaomba siku hiyo itakapofika, niruhusiwe nilete pendekezo la marekebisho ya sheria hiyo. Ahsante, Mhe. Naibu Spika."
}