GET /api/v0.1/hansard/entries/616794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 616794,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616794/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Nikizungumzia mambo ya misitu, kisheria ingekuwa muhimu kujua njia, barabara na mipaka ya misitu. Katika kaunti ya Samburu tuko na shida sana kwa sababu kuna watu wengi ambao wanaishi kwenye misitu. Ukiangalia ramani, utaona kwamba wako nje ya msitu. Lakini kwa sababu mpaka wa msitu huo haujulikani, wananchi wanahangaika. Hawajui mpaka wa msitu na mahali ambapo wanaishi. Mara kwa mara, wananchi husumbuliwa na kuambiwa wako ndani ya msitu."
}