GET /api/v0.1/hansard/entries/616866/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 616866,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616866/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Sisi kama Wajumbe tunahitaji kuziendeleza juhudi za kuwafunza wananchi ili wapate kufahamu kwamba hakuna utajiri mkubwa kama misitu. Tukiichunga misitu yetu kwa njia nzuri, tunaweza kuweka nyuki na watatusaidia. Kule kwetu Nakuru, tunapanda pareto ambayo inawawezesha wananchi kupata kiasi kizuri cha pesa kila wiki kutokana na mazao yao."
}