GET /api/v0.1/hansard/entries/617338/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 617338,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617338/?format=api",
"text_counter": 71,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Spika, nikimalizia, la muhimu ni kuwa Wabunge waelewe kuwa bado kuna kamati zingine ambazo lazima zifanyiwe marekebisho kama itahitajika. Ni muhimu kuwa wakati huu, tuangazie umuhimu wa kamati za Bunge. Kuna Wabunge ambao sitawataja majina hapa, ambao wamepewa nafasi za kuhudumu katika kamati na hawajahudhuria mkutano hata mmoja."
}