GET /api/v0.1/hansard/entries/617340/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 617340,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617340/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Nikipewa muda nitakuja na orodha niwaseme. Hata wale wanaosema na waseme - inajulikana wazi kuwa sheria zetu zinasema kama mwanakamati hajaudhuria vikao vitatu, aondolewe katika kamati hiyo. Wakati umefika Waheshimiwa, tuchukue majukumu yetu sawasawa na sahihi. Kila mtu ashughulike na shughuli za Bunge. Kama umeingia kwa kamati, ni muhimu na ni lazima ushughulike. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}