GET /api/v0.1/hansard/entries/617425/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 617425,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617425/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante Bw. Spika, kwanza, kwa makaribisho yako ya mwaka wa 2016, na pongezi kwa kazi ambayo sisi Maseneta tulifanya. Vile vile, nakushukuru kwa kuwakaribisha wananchi kutoka Kilifi ili wajifunze hali na taratibu za utendakazi. Nina imani kwamba wakirudi kwao watatumia elimu watakayoipata katika Seneti kuendeleza Kaunti ya Kilifi. Nakuunga mkono katika kuwapongeza sana Maseneta wenzangu kwa kazi tuliofanya. Tumepitisha Miswada mbalimbali na itakuwa jambo la muhimu ikiwa sheria tulizopitisha zitalisaidia taifa letu la Kenya. Asante, Bw. Spika."
}